TBS vipi mbona hivyo?

TBS vipi mbona hivyo?

FAFI

Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
36
Reaction score
0
Jamani siku zinazidi kwenda na TBS wamekaa kimyaa, Hivi hakuna mwenye tetesi yoyote?? au lile tangazo la kazi ilikuwa sikukuu ya wajinga??
 
nibora ukaangalia michakato mingine hawa tbs niwasumbufu sana hawana tofauti na TRA
 
hao jamaa unaweza shangaa ukaitwa kwenye usaili january
 
nibora ukaangalia michakato mingine hawa tbs niwasumbufu sana hawana tofauti na TRA

TRA na NSSF ni shida. Bora ucheki mishe mingine kuliko kusilikilizia kuitwa kwa usaili ktk hz taasisi..
 
Kuitwa kwenye usaili inachukua miezi 6, baada ya hapo wanaweka watu wao name mchezo unaishia hapo
 
TBS wapumbavu sana na CCM hawapiti mbwai mbwai tu
 
Back
Top Bottom