Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 365
Mimi ni mjasiliamali muuza chipsi LAKINI wahusika tunaomba MSAADA WENU wa kiuwajibikaji fuatilieni mafuta yakula yanayoingia sokoni Kuna ambayo yanakua yanakasoro hivyo yanatusababishia hasara yanamwagika na tunapata tabu ya kimatumizi.
Aidha hatujajua mafuta haya yatakua na madhara kiasigani kwa ninaadamu.
Mafuta haya yakishapata Moto yanatoa puvu jingi Sana Kama mtu aliye weka sabuni kwenye mafuta. Angalia picha hzo ushahidi wa video ninao.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app