TBS, Mafuta ya kupikia yanatoa povu. Je, yameisha muda wake?

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Apr 1, 2014
748
365
Mimi ni mjasiliamali muuza chipsi LAKINI wahusika tunaomba MSAADA WENU wa kiuwajibikaji fuatilieni mafuta yakula yanayoingia sokoni Kuna ambayo yanakua yanakasoro hivyo yanatusababishia hasara yanamwagika na tunapata tabu ya kimatumizi.

Aidha hatujajua mafuta haya yatakua na madhara kiasigani kwa ninaadamu.

Mafuta haya yakishapata Moto yanatoa puvu jingi Sana Kama mtu aliye weka sabuni kwenye mafuta. Angalia picha hzo ushahidi wa video ninao.

11.jpg
22.jpg

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Siyo kila mafuta ni kwaajili ya kupikia kiongozi. Inaonekana hayo ya kwenye picha ni malighafi ya kutengenezea sabuni mkuu!
Kwasababu za kibiashara ningeweza kutaja majina ya makampun ya mafuta hayo na ukitaka KUJUA kwamba nitatizo KUBWA Ila WATANZANIA huaga niwatu wa kumezea vitu hawatoi MAONI Wala kupambania Jambo nikwamba nilisafiri kwenda isiman mkoan IRINGA kijijin makadupa nikamkuta Dada anachoma chips pia mafuta tanatoa pov Kama hvyo najua nawengine wengi wanaona hyo har lakin wataenda kusema wapi man.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna tatizo la processing kwenye hayo mafuta, kule singida na dodoma vijana kibao wana vidumu vya mafuta wanauza kwenye magari yanayopita......sasa sidhani kamaTBS wameweka standards za namna ya kuyazalisha hayo mafuta kwa wazalishaji wakubwa na wale wadogo au kila mtu anapuyanga tu.......TBS tokeni huko mlipojificha mkaangalie ubora wa mafuta haya au mnasubiri hadi watu wapate madhara.
 
I wish kungekua na system ambayo ukitoa TAARIFA ya tatizo fulan wahusika haraka wanapata TAARIFA ..

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwasababu za kibiashara ningeweza kutaja majina ya makampun ya mafuta hayo ...naukitaka KUJUA kwamba nitatizo KUBWA Ila WATANZANIA huaga niwatu wa kumezea vitu hawatoi MAONI Wala kupambania Jambo..nikwamba nilisafir kwenda isiman mkoan IRINGA kijijin makadupa nikamkuta Dada anachoma chips pia mafuta tanatoa pov Kama hvyo najua nawengine wengi wanaona hyo har lakin wataenda kusema wapi man...

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hayo ni mafuta ya alizeti. Yana kawaida ya kutoa mapovu yakipata moto, na baada ya kuchemka hilo povu hupotea.

Sijajua tatizo hutokea wakati wa ukamuaji wake, au wakamuaji huchanganya na maji kidogo, au la!
 
Mafuta mengi yanayoingizwa na wahindi toka mashariki ya mbali siyo mazuri kwa afya baada ya muda Kansas, Figo , mtindio wa ubongo wengi wataathirika sana. Na Corona ikipita kidogo inakuwa sukuma mlevi.

Nunua mafuta ya alizeti ya hapa nchini au kama ni kuungia saga karanga.
 
Hayo ni mafuta ya alizeti. Yana kawaida ya kutoa mapovu yakipata moto, na baada ya kuchemka hilo povu hupotea.

Sijajua tatizo hutokea wakati wa ukamuaji wake, au wakamuaji huchanganya na maji kidogo, au la!
Nipo dar mkuu sio ya alizetini mafuta haya ya madum na ndoo MENGINE KUTOKA nje ya nchi

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom