TBS, Mafuta ya kupikia yanatoa povu. Je, yameisha muda wake?

Mafuta mengi yanayoingizwa na wahindi toka mashariki ya mbali siyo mazuri kwa afya baada ya muda Kansas, Figo , mtindio wa ubongo wengi wataathirika sana. Na Corona ikipita kidogo inakuwa sukuma mlevi.

Nunua mafuta ya alizeti ya hapa nchini au kama ni kuungia saga karanga.
Kaka kwamatumiz ya nyumban sawa sasa nauza chips mafuta ya alizeti au karanga inawezekanaje?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
..sasa sidhani kamaTBS wameweka standards za namna ya kuyazalisha hayo mafuta kwa wazalishaji wakubwa na wale wadogo au kila mtu anapuyanga tu.......TBS tokeni huko mlipojificha mkaangalie ubora wa mafuta haya au mnasubiri hadi watu wapate madhara.
Wana jengo kubwa sana dar, ukifika pale wanazungukazunguka tu mle utadhani wamepotea wanakokwenda, kumbe urasimu mtupu, hii nchi shida tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom