TBL,safari ndogo (mwendokasi) zinapotea mtaani.

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Nashangaa mno, safar ndogo wapi zinakwenda?!. Zinakuwa adimu mno mikoani. Nn shida?

Nasikia mmepunguza production kuzipoteza kama noti ya TZS 500.
Niliwasifia sana,sasa mnaanza kuharibu.

Kwann safar ndogo zinapungua mtaani?
 
Back
Top Bottom