kama kawaida yako mkuupole sana mkuu
pole sana aisee kwa kukosa ladha husika ya bia uipendayoMkuu asante na hongera kwa Sana kazi yako njema
daah usiwaze mkuukama kawaida yako mkuu
ukijaribu kuuliza wauzaji wanasemajeHawa jamaa mimi cjawaelewa kabisa sijui ujanja ujanja gani wanatufanyia
wanasema eti hii mpya ya wanaume wa Dar na inatengenezwa Dar. Ile Extra lager ya wanaume wa kanda ya ziwa na inatengenezwa Mwanza
wanasema eti hii mpya ya wanaume wa Dar na inatengenezwa Dar. Ile Extra lager ya wanaume wa kanda ya ziwa na inatengenezwa Mwanza
Anhaa sawa mkuuMi nipo moro pua na mdomo na hiyo Dar ndo wanafanya kutuletea kiulaini tu