TBL mnatufanyia nini kwenye bia ya Balimi?

BigBaba

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,909
9,038
Tbl kwanini mnatufanyia janja janja kwenye hii bia ya balimi. Balimi iliyokuwa imekubalika sana ni ile balimi extra lager sasa mmetulea uchafu gani tena huu wa balimi fahari ya mavuno.
272edccc4b6ee3306457488a247ae5ba.jpg

Je ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti mi toka imekosekana ile balimi extra lager kanda yetu bia yetu nmekuwa sinywi kabisa hii fake yake balimi fahari ya mavuno.
bec5dba7c92b5ecd9617307dc219d5c5.jpg

Mwenzangu mnasemaje mana kila nikitaste naona ladha tofauti kabisa. Turudishie bia yetu bana TBL mbona mnatufanyia janja janja? Sio vizuri
 
Kula mwendokasi Safari, Balimi Extra Lager hapa moro haipo siku hizi, kuna bia ya kifala inaitwa Balimi Lager hovyo kabisa. Hapa ni mwendokasi tu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom