TBL building a $55 million brewery in Mbeya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBL building a $55 million brewery in Mbeya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Alpha, Mar 23, 2009.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  * Sees revenue climbing 11 percent in year to March 31
  * Expects new 600,000 hectolitre plant by Nov. 2009
  * To add new bottling plant in Dar es Salaam
  By George Obulutsa
  ZANZIBAR, March 23 (Reuters) - Tanzania Breweries, a subsidiary of South African SABMiller, said on Monday revenue for the March year could rise by up to 11 percent on the previous year's 383 billion shillings ($290 million).
  Managing Director Robin Goetzsche told Reuters TBL also had plans to boost its production capacity by 600,000 hectolitres before November, by building a $55 million brewery.
  "We should see good double-digit growth, around 10 to 11 percent in revenue growth, which is positive for us, bearing in mind the tough couple of sessions ahead of us in terms of world economy," he said.
  TBL, majority-owned by SABMiller has beer production capacity of just over 3.4 million hectolitres, against sales of about 3.25 million hectolitres per year.
  "We are building a new brewery which we will be commissioning in November in Mbeya. The brewery in the south is an investment of $55 million," Goetzsche said in an interview on the sidelines of an investors' meeting in Zanzibar.
  "The new plant will have an annual capacity of, to start with, 600,000 hectolitres."
  Goetzsche said the Mbeya plant would easily be upgraded to double its capacity as needed.
  The company is expanding to meet rising demand fuelled by a booming economy in recent years.
  He said TBL was also add a new 48,000 bottles an hour bottling line in its Dar es Salaam plant, to start operations in April, and upgrade other existing bottling plants.
  The company also intends to boost its Mwanza plant to 850,000 hectolitres by mid-2009, he said.
  "We will be expanding that to initially about 850,000 hectolitres, but part of overall footprint we are looking at would be to take it to 1 million hectolitres within the next five to seven years."
  Among the challenges TBL faces are congestion at the Dar es Salaam port, poor roads as well as unreliable power supply.
  Among TBL's major shareholders are SABMiller with a 52.83 percent shareholding and East African Breweries with 20 percent. It is listed on the Dar es Salaam Stock Exchange, with the public owning just over 6 percent.
  The rest is split amongst Tanzanian pension funds and the International Finance Corporation. (Editing by Andrew Macdonald) ($1=1320.0 Tanzanian Shilling)

  Business Feed Article | Business | guardian.co.uk
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi huwa sishabikii pombe hata kama inaleta pesa. hapo mimi sipo. kwaheri.
   
 3. U

  Ufunuo wa Yohana JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 35
  Ndiyo kazi pekee iliyobakia waTZ kunywa pombe kwa kwenda mbele mpaka makampuni yanaexpand production. Uwekezaji mzuri siku hizi uko Africa hasa TZ maana Ulaya na UAS wanaminimize matumizi sisi in full kujiachia; maendeleo ni ndoto;

  Nadhani pesa ambazo mafisadi wanalalia chini ya magodoro wakiogopa kupeleka benki ndizo zinafanya kazi mapato TBL yanaongezeka; mafisadi kazi yake sasa ni kujidunga tu.

  kazi bado tunayo tz.
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Unywaji pombe bila kipimo unadhoofisha afya.

  The profitability of TBL is a reflection of our priorities!
   
 5. U

  Ufunuo wa Yohana JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 317
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 35
  Booming economy??????

  Hapana hapa kuna mkono wa mtu.
   
 6. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Watanzania ni wakali wa kinywaji na totoz! mambo mengine mkiani! Kwi kwi kwi!!!

  Muhimu tu ni kuna ndugu zetu watapata ajira na taifa litapa mapato. Ni kuwabana tu hawa makaburu watumie ngano yetu na sio kubeba kila kitu toka kwao.
   
 7. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Tuskerbaridiiii upo wapi ndugu?

  Unasikia mambo hayo?
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kama kinywaji hakipandi ka pembeni...
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Yet mtu hupokea mshahara wa kodi ya kinywaji na karibu 30% mapato TRA hutokana na pombe!

  Hata barabarani basi usipite maana % kubwa ya pesa hii hutokana na kinywaji!
   
 10. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  tax them heavily thats what I say. My father went to school kwa fedha za pombe. And I went to school too because he did. Nikuwapiga kodi kubwa..tujenge madarasa..
   
 11. Mental Retard

  Mental Retard Member

  #11
  Mar 23, 2009
  Joined: Mar 9, 2008
  Messages: 33
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  mwe! uwe na huruma
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Nipo najiandaa kunoa Koo...kwani Kiwanda cha TBL Dar uzalishaji wake ni mdogo ndio maana ndugu zangu wengi wanakunywa Gongo nk... Great Move TBL... (Employment and Tax!)
   
 13. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #13
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Hivi Tanzania tunalima Barley na Hops?
   
 14. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #14
  Mar 24, 2009
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Gd question Rev. Well nadhani tulikuwa tunalima kule Arusha na kutumia kwa uzalishaji wakati viwanda vya bia vilipokuwa vya umma. Kaburu alipochukua alihitaji kila kitu kitoke SA...........kama kawaida bao la kisigino!
   
 15. MyTanzania

  MyTanzania Senior Member

  #15
  Mar 24, 2009
  Joined: Sep 9, 2008
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Drink beer
  Donate blood
  Save water
  Save life
   
 16. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #16
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160

  So why bother checking out this thread??? By the way tuachieni sie wachache tuendelee kuenjoy!
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Mar 24, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Hawa jamaa waongo kweli, according to me the world financial meltdown itawafanya watu tunywe saaana kwani ndo tutasahau shida zetu. Sasa hawa wanahofia. We angalia nyumbani mtu anaweza asiwe na mboga lakini ya ulabu iko pale pale!
   
 18. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #18
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  hapa mbeya, tuna mtizamo chanya kuhusu kuwepo kwa kiwanda hiki, tayari kuna mzunguko wa pesa toka mkandarsi AS noremco aanze kazi, magari ya kukodi mahoteli nk

  kitakapoanza kazi ajira nazo zitafurika. nitaomba TBL watoe kipaumbele cha ajira kwa wakazi wa hapa ambao watamudu vigezo vyao, badala ya kufikria kila wakati kutoa kipa umbele kwa wakazi wa dar hata kwa kazi kama ulinzi, udereva, na uhudumu
   
 19. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #19
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Changamkeni sasa, anzisheni kampuni za ulinzi kwa kuwa TBL hawawezi kuajiri mlinzi mmoja mmoja. Wanaingia mkataba na kampuni ya ulinzi ambayo inakuwa responsible na ulinzi wa eneo zima la kiwanda. Ndivyo mambo yanavyokwenda, mkilemaa mtashangaa wanaletwa KK Security toka Dar!

  Halafu Watanzania bado tuko kwenye usingizi mzito sana kwenye suala zima la uwekezaji. Yaani nilishangaa kugundua kwamba asilimia 95% ya makampuni yote makubwa ya Ulinzi ni ya wazungu!! Ukienda viwandani ndio usisema, vyote ni vya wahindi.

  Watanzania wengi wanaoitwa wafanyabiashara wana maduka ya jumla, salon za kunyolea nywele, salon za kike, mwingine ana madaladala 10, mwingine ana taxi 5....Hao ndio wajasiriamali tulionao. Waliobaki wote wameajiriwa maofisini. PERIOD!!!

  Inasemekana hata dili kama za EPA zimeanza miaka mingi iliyopita na zilikuwa zinawashirikisha wahindi peke yao. Walipokosea mwaka 2005 kuwaingiza Waswahili ndipo mambo yalipoharibika! Aibu!
   
 20. A

  Audax JF-Expert Member

  #20
  Mar 24, 2009
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tatizo la nchi yetu hawaweki misingi imara ya kubenefit kutoka kwenye makampuni mbalimbali,.Watu watapata ajira lakini kununua bidhaa zetu na kuzitumia kwenye uzalishaji hili ndo la muhimu saana kwa sasa.

  Nashangaa wanachukua ngano south africa ,na sukari,sasa faida za kuwa na wawekezaji zipo wapi? hivi serikali jamani hili hamlioni? nimewahi kufanya kazi kwenye kampuni hii kwa mienzi mitatu nikiwa kwenye mazoezi,hawa watu wantreat wafanyakazi wao vizuri saana na quality ya uzalishaji ipo juu,kila kitu ni machine ndugu yangu,very interesting.

  Tofauti na soda,kiwanda kile cha mbeya eti mpaka sasa bado wantumia watu kuangalia chupa chafu au soda iliyojazwa either zaidi au chini ya kipimo, na mambo mengine, kwa kweli hii c salama kabisa,maana yule mtu akichoka kuangalia ndo imetoka. Hii kitu inaleta madhara baadae,sasa cjui serikali inafuatilia vipi uzalishaji viwandani? huu ni mfano moja tu.Kuna viwanda vingi hapa vinazalisha vitu ambavyo viko chini ya kiwango na sisi tunavitumia!!

  Tungefurahi zaidi kama serikali ingejaribu kufuatilia uzalishaji wa vyakula na vinywaji vyote hapa nchini, waziri wa viwanda na biashara,tusaidie ktk hili.We are dying slowly.
   
Loading...