Tbc1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc1

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Davies_007, Apr 3, 2011.

 1. D

  Davies_007 Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa?
  Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
   
 2. Ligogoma

  Ligogoma JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 1,889
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama ni ukumbi muafaka kwa sports!!!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,314
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Pole mkuu ila ulipoingilia siyo penyewe!
   
Loading...