Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,865
- 833
Thanks for information.Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine kama itv,eatv,startv nk.asante kwa kunielewa
Baada ya usumbufu wa muda mrefu wa kuipata tbc1,sasa ipo live bila chenga.unachotakiwa kufanya ni kuingiza frequeny 3892-v-3072.huna haja ya kuuchekecha ungo wako kama unazinasa chanel zingine kama itv,eatv,startv nk.asante kwa kunielewa

vipi kwa TBC,?nina wiki kama nne siipati kupitia hiyo mediacom receiver.True kabisa mimi natumia mediacom receiver signal zimetulia kabisa kwa startv
vipi kwa TBC,?nina wiki kama nne siipati kupitia hiyo mediacom receiver.
True kabisa mimi natumia mediacom receiver signal zimetulia kabisa kwa startv
kwa tbc1 sijaweka hizo frequency mpya sababu remote yake imeharibika so niko katika harakati za kujaribu kama zitaleta signal
tbc iko vizuri mkuu jaribu