Ifute kabisa kwenye decoder yako, halafu kwenye mjadala wa leo asubuhi tazama kupitia Star tv ambao wao hurusha session hii ya asubuhi. Itabidi tuwaombe wawe wanarusha na jioni hasa kunapokuwa na serious issues kama hii screw!
Mnaotazama TBC mjiandae kisaikolojia pia. Mjadala ukifika kwenye chorus watakata matangazo wakisingizia hali mbaya ya hewa, au kukatika kwa umeme kule Kijitonyama! Shauri yenu.