Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,108
katika kuelekea uchaguzi october 2010 shirika la utangazaji TBC1 wamezidi kutoonyesha usawa wa demockasia kwa vyama vyote. kampeni zilipofunguliwa 20/08/2010 kila ulipofungua TBC unakuta rangi za kijani(CCM), siku zikaenda CUF wakafungua kampeni zao na wenyewe wakaonekana live and Chadema wakafungua kampeni wakaonekana live pamoja na kuwakatia matangazo.
Taarifa ya habari ya tarehe
27/08/2010 baada ya chadema kuzindua kampeni zao walionesha, CCM na CUF walioneshwa pia.
28/08/2010 CCM walionesha kampeni kwa mgombea wa urais, makamu, wabunge na madiwani, CUF walionesha mgombea urais tu CHADEMA ilikula kwao mana mgombea wao alikuwa DODOMA hakuoneshwa, je reporter wa TBC hawakuwepo?
29/08/2010 CHADEMA walionesha mgombea urais(lakini taarifa ilikuwa inakatika katika, wakaomba samahani ikaja kurushwa saa 4 watu wanaelekea kulala)
29/08/2010 TBC walionesha usawa kwa wagombea wote
30/08/2010 TBC walionesha taarifa za chadema zikiwa mgombea ubunge zikiwa zinakatika katika wakaomba samahani wakarudia sa 4 watu wakiwa wamelala, kwani TBC frequency zao zinabadilika wakifika taarifa za chadema?
02/09/2010 80% ya taarifa ilikuwa CCM, CUF walionesha mgombea urais na Chadema mgombea urais, hapa usawa uko wapi?
Muda katika taarifa ya habari ya jana 02/09/2010
Mgombea mwenza CCM dk 4.02.025, hapa aliongea mara 3 tofauti katika taarifa moja
Mgombea Urais Chadema dk 2.25.40 mgombea aliongea mara moja taarifa ilikuwa inabreak
Mgombea wa CUF alioneshwa mara moja
Mytake :TBC kwa sasa imenunuliwa na ccm
1.Inakuwaje TBC wanakuwa wabaguzi kiasi hiki?
2.Kwani ikifika taarifa za chadema frequency ya TBC inabadilika?
3.kwanini TBC taarifa zao za habari 80% ni CCM?
4.Reporter wa TBC wanafanya makusudi kutotoa ujumbe kamilifu kwa umma wakiogopa kufukuzwa kazi?

good analysis...ndo data tunazotaka hizi. endelea kuwa-time kila taarifa ya habari. Bila data tunakuwa mavuvuzela tu!
Na hii inaonyesha watu wanauchu mwaka huu. HATUDANGANYIKI!
Data za 2-Sept ndo zimetulia. Hii ya kusema 80% nk...ni maoni tu mkuu. Lakini hizi zinazopima muda kabisa ndo tunazohitaji. Mkuu ninaomba uendelee kukusanya namna hii.
Mkuu leo (03/09/2010) mida ya saa 6.05 na saa 6.35usiku TBC walikuwa wanapiga nyimbo za CCM
Msanii mmoja sikuweza kumpata jina alikuwa anaimba wimbo wa kumchagua KIKwete na wabunge wake akiimba wapinzani hawana jipya
Mytake to TBC1
Kama wameamua kuonesha nyimbo katika TV ya TAifa wafanye kwa vyama vyote sio SSM tu
Siku moja mtakuja kuwalipa wananchi

Mbona tarehe 29 umeonyesha mara mbili. Ni wapi ni wapi ili tuwe na wakika tukirudia hii information? Niko na jamaa wangu ana rekodi haya mambo. Naomba unipe details kabisa za nani alikua anaongea mpaka wakamkata.Mkuu leo (03/09/2010) mida ya saa 6.05 na saa 6.35usiku TBC walikuwa wanapiga nyimbo za CCM
Msanii mmoja sikuweza kumpata jina alikuwa anaimba wimbo wa kumchagua KIKwete na wabunge wake akiimba wapinzani hawana jipya
Mytake to TBC1
Kama wameamua kuonesha nyimbo katika TV ya TAifa wafanye kwa vyama vyote sio SSM tu
Siku moja mtakuja kuwalipa wananchi
Mbona tarehe 29 umeonyesha mara mbili. Ni wapi ni wapi ili tuwe na wakika tukirudia hii information? Niko na jamaa wangu ana rekodi haya mambo. Naomba unipe details kabisa za nani alikua anaongea mpaka wakamkata.
Alafu sijui kama umegundua tarehe 28 TBC Marine akjionyesha akipigwa huku akisema kwamba eti "Sijui kama wana lengo la kufanya kampeni kwa amani kama mambo yenyewe ni yale ya kumpiga mwandishi na kumtukana" - Yani eti huyu ni mwandishi.
Na siku hizi sijui kama umegundua wana mambo flani ya kihuni TBC ya kusoma SMS za watu zinazoombaga kampeni za amani na utulivu na ya kukwepa matusi alafu ndio wanabroadcast habari za CHADEMA.:mad2:
Sijakataa nataka tu nijue hio ya tarehe 29. Ni habari zote mbili au labda moja ulikosea?mkuu sina uwezo wa kurecord
kama unaangalia taarifa ya habari ya TBC ninayoandika hapa ni ya ukweli
katika kuelekea uchaguzi october 2010 shirika la utangazaji TBC1 wamezidi kutoonyesha usawa wa demockasia kwa vyama vyote. kampeni zilipofunguliwa 20/08/2010 kila ulipofungua TBC unakuta rangi za kijani(CCM), siku zikaenda CUF wakafungua kampeni zao na wenyewe wakaonekana live and Chadema wakafungua kampeni wakaonekana live pamoja na kuwakatia matangazo.
Taarifa ya habari ya tarehe
27/08/2010 baada ya chadema kuzindua kampeni zao walionesha, CCM na CUF walioneshwa pia.
28/08/2010 CCM walionesha kampeni kwa mgombea wa urais, makamu, wabunge na madiwani, CUF walionesha mgombea urais tu CHADEMA ilikula kwao mana mgombea wao alikuwa DODOMA hakuoneshwa, je reporter wa TBC hawakuwepo?
29/08/2010 CHADEMA walionesha mgombea urais(lakini taarifa ilikuwa inakatika katika, wakaomba samahani ikaja kurushwa saa 4 watu wanaelekea kulala)
29/08/2010 TBC walionesha usawa kwa wagombea wote
30/08/2010 TBC walionesha taarifa za chadema zikiwa mgombea ubunge zikiwa zinakatika katika wakaomba samahani wakarudia sa 4 watu wakiwa wamelala, kwani TBC frequency zao zinabadilika wakifika taarifa za chadema?
02/09/2010 80% ya taarifa ilikuwa CCM, CUF walionesha mgombea urais na Chadema mgombea urais, hapa usawa uko wapi?
Muda katika taarifa ya habari ya jana 02/09/2010
Mgombea mwenza CCM dk 4.02.025, hapa aliongea mara 3 tofauti katika taarifa moja
Mgombea Urais Chadema dk 2.25.40 mgombea aliongea mara moja taarifa ilikuwa inabreak
Mgombea wa CUF alioneshwa mara moja
Mytake :TBC kwa sasa imenunuliwa na ccm
1.Inakuwaje TBC wanakuwa wabaguzi kiasi hiki?
2.Kwani ikifika taarifa za chadema frequency ya TBC inabadilika?
3.kwanini TBC taarifa zao za habari 80% ni CCM?
4.Reporter wa TBC wanafanya makusudi kutotoa ujumbe kamilifu kwa umma wakiogopa kufukuzwa kazi?
Mkuu TBC chini ya TIDO ni CCM sasa hapo unategeme kipi kipya, wamejisahau sana kuwa wanaishi kwa KODI ZETU SISI WANANCHI wanadhani wanaishi kwa HELA YA CCM.
Kila lenye mwanzo huwa lina mwisho wote tushirikiana kuiondoa CCM madarakani tuweke CHADEMA ili wakomeshe hii tabia ya MATUMIZI MABAYA YA KODI ZA WANANCHI tuone jeuri ya TBC itaishia wapi