MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,239 Reaction score 6,777 Nov 2, 2016 #61 du hawa jamaa kweli kiboko.... uchaguzi wa mwaka jana walikuwa wakisuasua vibaya na walizidiwa ueledi na TV karibu zote za hapa bongo sasa kutuma mtu kwenda kufanya coverage ya uchaguzi marekani lazima itakuwa ni kituko.. Ngoja tuone...
du hawa jamaa kweli kiboko.... uchaguzi wa mwaka jana walikuwa wakisuasua vibaya na walizidiwa ueledi na TV karibu zote za hapa bongo sasa kutuma mtu kwenda kufanya coverage ya uchaguzi marekani lazima itakuwa ni kituko.. Ngoja tuone...
bin unuki Member Joined Sep 24, 2016 Posts 47 Reaction score 19 Nov 2, 2016 #62 Mbona wako poa mm naangalia kama kawa..sio lazima upingane na kila jambo..
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,035 Reaction score 15,244 Nov 2, 2016 #63 Hii ni Tv ya wapi? au mna maana ya ITV au?
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 19,035 Reaction score 15,244 Nov 2, 2016 #64 Nahisi nchi inahitaji maombi hii aisee!
kaka wataifa Senior Member Joined Sep 2, 2016 Posts 177 Reaction score 74 Nov 2, 2016 #65 Kumbe bado mnaangalia tbc karne hii poleni sana