TBC1 na live coverage ya Uchaguzi wa Marekani

Zambotti

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2016
Posts
1,983
Reaction score
3,670
Natazama taarifa ya habari hapa maana king'amuzi changu bando limekata, basi eti wamemtuma mwandishi wao aitwa Lea Mushi kwenda kufanya live coverage ya uchaguzi wa Marekani basi mweeh! Huyo ripota wenyewe anaripoti kama yuko anaripoti redioni, yaani ni ujinga mtupu, hawa jamaa sijui wanakosea wapi.
 
TBC hawataki kuwa wa kisasa.
 
mods badilisheni hiyo title wekeni
(wazee wa picha nyeusii bwana!!)
 
Walishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
 
Walishindwa kufanya Live coverage uchaguzi wa Tanzania! Sasa ndo waende America!?? Au unatania mkuu??
Tena wamemtuma na mwandishi wao kabisa, mwanamama anaripoti all the way from washngton d.c, eneo la white house
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…