Elections 2010 TBC1, huu si uungwana!

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina

Reporter we CCM wanareport na sera za chama leo Kikwete kaoneshwa kwa dakika 3;23:01
pia wanaonesha umati uliokuja kumsikiliza( HII NI NJIA YA KUWARAGHAI WATANZANIA KUWA KIKWETE ANAKUBALIKA)

CUF wameonesha kwa dakika 2;01;54 pia wameonesha sera zao

DR Slaa hapa reporter kaonesha bulaa bulaa DR KAONESHWA KIWILIWILI TU NA WACHENZA NGOMA (HII NI NJIA YA MAJASUSI WA TBC KURAGHAI WATANZANIA KUWA SLAA HAKUBALIKI

Mytake

Muda wa kulalamika umeisha TBC WATAVUNA WANACHOPANDA
 
unamaanisha tuanze kuwafanyi watangazi wa TBC kile tulicho wafanyia jangwani?
 
huu ni mtazamo wako...na ninahuheshimu mtazamo wako but siyo mtazamo wa watanzania.
 
TBC ni vibaraka wa ccm, nashangaa wanavyoendesha hicho chombo, basi watuambie kuwa ni cha CCM pekee kwani ukiangalia taarifa nyingi ni kikwete, huyo tunamfahamu, hatuna shida nae kumsikiliza tena, anafanya watu tushindwe kufungulia tbc sabu tumemchoka
 
Wanakera kupita kiasi, Wasije sema hawakujua siku yakimwagika. Huwa yanaanza hv hv!!!!!!!!!!
 
Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina

Reporter we CCM wanareport na sera za chama leo Kikwete kaoneshwa kwa dakika 3;23:01
pia wanaonesha umati uliokuja kumsikiliza( HII NI NJIA YA KUWARAGHAI WATANZANIA KUWA KIKWETE ANAKUBALIKA)

CUF wameonesha kwa dakika 2;01;54 pia wameonesha sera zao

DR Slaa hapa reporter kaonesha bulaa bulaa DR KAONESHWA KIWILIWILI TU NA WACHENZA NGOMA (HII NI NJIA YA MAJASUSI WA TBC KURAGHAI WATANZANIA KUWA SLAA HAKUBALIKI

Mytake

Muda wa kulalamika umeisha TBC WATAVUNA WANACHOPANDA
MAGUGU HAYANA NAFAKA MKUU WANGU.
Inabidi tufanye midahalo na hata namna yoyote ya kufikisha ujumbe kwa umma how unfair hawa watu are.
Ikibidi tucampaign kuwa vyombo vya habari vya serikali ni MAKUWADI wa UFISADI. Ni wafaidika na huo UJAMBAZI
 
[
QUOTE=King of Kings;1100611]Leo(23/09/2010) katika taarifa ya habari ya saa 2 kamili wamezidi kuonesha kupendelea upande mmoja kwa kuonesha taarifa za CCM NA CCMB(CUF) kwa kina
Mkuu unapokuwa una nongwa kama za mjamzito ujuwe wa kumnunia (mumeo aliyekutia hiyo mimba) usimnunie kila mtu, CUF SIYO CCM B, wala hakuna chama kama hicho.
 
...basi kitakuwa CCM c,
KUna mpango mahususi umepangwa ukapangika lakini wakasahau kuwa time was too late
 
Huyo jamaa anayekataa kua sio CCCMB,je hauoni jinsi wanavyokula pamoja huko zanzibar?Serikali mseto?
 
[
Mkuu unapokuwa una nongwa kama za mjamzito ujuwe wa kumnunia (mumeo aliyekutia hiyo mimba) usimnunie kila mtu, CUF SIYO CCM B, wala hakuna chama kama hicho.

Mkuu tunajua kuwa CUF ni CCMB, we suburi utaona
 
TBC wakiwa wanaonesha mikutano ya DR Slaa wataonesha WATOTO WALIOKAA MBELE NA KIWILIWILI TU

Hawa ndo watasababisha uvunjifu wa AMANI TANZANIA
 
Shame upon tido mhando, shame upon tbc and marine hassan, shame upon kikwete, they are all cursed by the blood of jesus, amen. Their days are numbered.
 
Unakumbuka TBC1 walivyo msafisha Kwenye zile simu zilizo kua zikipigwa live. HATUDANGANYIKIIII:becky:
 
Hahahahahahahah nakucheka kwasababu kilamtu amepewa Uhuru wa kufanya kampaign kwa njia Yeyote ile,, ikiwa kuomba Vyombo vya habari kuwatangaza ilikupata kura,,

Hii haikatwazwi hata kwa wewe nenda kawashauri wanachama wako (Viongozi wa chama chako kufanya hivyo) lakini simaanishi CCM na CUF wamehonga huu ni Mtazamo wangu kwakuwa hata ukitaka kutangaza kitu unalipia kituo cha TV na wanakutangazia Nendeni mkajaribu hata na hii pia..
 
Walitaja "alipokuwa anamnadi mgombea wa Same Magharibi" Bila ya kumtaja jina wala kumwonyesha... Nilisikitika sana jana...
 
Mkuu yanini kuhangaika na hao jamaa? Tushawasema mpaka basi. Ili usiugue vidonda vya tumbo ni kuwapiga chini na kutoitazama hiyo tv, tafuta nyingine na kama za bongo zote ziko vilevile basi achana na kuangalia taarifa ya habari. Ukifika muda nenda channels za maana km cnn, bbc au hata za watoto km CN 301 dstv. Mbona tunawajua hawa kuwa ni vibaraka wa mafisadi?
 
wewe sasa umenena la maana, maana mwenzetu alikuwa anapotea,, sijui tunge madmit wapi, maana nasikia vidonda vya tumbo havina dawa:mad2:
 
Hahahahahahahah nakucheka kwasababu kilamtu amepewa Uhuru wa kufanya kampaign kwa njia Yeyote ile,, ikiwa kuomba Vyombo vya habari kuwatangaza ilikupata kura,,

Hii haikatwazwi hata kwa wewe nenda kawashauri wanachama wako (Viongozi wa chama chako kufanya hivyo) lakini simaanishi CCM na CUF wamehonga huu ni Mtazamo wangu kwakuwa hata ukitaka kutangaza kitu unalipia kituo cha TV na wanakutangazia Nendeni mkajaribu hata na hii pia..

Mlimani TV inaonekana wako fair.
Wapo radio FM vipindi vyao vya habari viko fair pia.
 
huu ni mtazamo wako...na ninahuheshimu mtazamo wako but siyo mtazamo wa watanzania.

wun mtazamo wa watanzania ni wewe au kama upo utujuvye maana sisi pia ni watanzania tungependa kuujua msimamo huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom