TBC1 haipendwi na Watanzania

Huu ndio muda wa wafanya biashara kutangaza kupitia TBC kwani idadi kubwa ya watu watukua wanaangalia hilo dubwashA
 
Twaweza wangetumia hii nafasi kufanya utafiti kuhusu ukubalikaji Wa TBC mtaani,halafu waje na majibu
 
Tibisi inakuwaga na positive peke yake hainaga negative,,kila siku masifa ya kijinga kusifia sifia hadi uongo.. nani apoteze muda kwenye hili li Television
 
Nape Nauye mwenyewe kafunga DSTV kwake waqt ndio alionekana mzalendo kupitiliza akiwa waziri. Ninaimani hakuna mkuu wa wilaya. Mkoa au waziri anaeangalia TBC
 
TBC1 ndo kitu gani tafadhali mwenye uwelewa anieleweshe
 
Yaani siwz angalia TBC hata wangenilipa,sipo tyr kuangalia unafiki kwa vitendo
 
una akili timamu ?
 
Yes kweli tuna hasira swali langu ni je siku kama ya leo watangazaji wa habari wa hizi TV watakuwa wameiingia studio kurusha habari?Na kama wameingia wanamlenga nani aione hiyo habari maana vingamuzi vyote wamepigwa ban............

Mwisho Tbc hata iweje siwezi ipenda wala kuitazama kuanzia graphics zao,muonekano mbovu na mwisho habari zao mbovu mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…