Kama mbagala hao ni Cuf wanahasira za julius Mtatiro kuwasaliti lazima wachukie TBCMHapa hapa Dar mkuu nipo Mbagala kwa Wamakonde
Kitu hupendwa kwa uzuri wake, na si kwa nani mmiliki.... Majumbani kwenu mna vingapi si vya Tanzania na wakati bidhaa hizo hizo zipo Tanzania??Kuna sehemu nilikuwa naangalia mechi ya Arsenal na Man City baada ya mechi wakaweka TBC1. Watazamaji wote wakapiga kelele wakitaka hio Chaneli iondolewe wakataka Bbc World, Aljazeerah au chaneli yoyote ya mziki. King'amuzi ni cha DSTV wameweka TRACE.
Sijawaelewa hawa watanzania kwanini hawana uzalendo wa kuangalia TBC chaneli pendwa ya nyumbani kwetu. Naipe da sana TBC1 kwani ni Tv ya Habari za uhakika kwa watanzania bila kupendelea. Nini maoni yako?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mbavuurafiki wao na ccm nddo shida, ingekuwa neutral ht mm ningeipenda channel yangu y taifa langu pendwa
Huwa sijui kwann colable yeyote na kijani huwa lazima kitu kife, au kufifia check ze comedy, bongo movie, cloud FM,kwa uchacheurafiki wao na ccm nddo shida, ingekuwa neutral ht mm ningeipenda channel yangu y taifa langu pendwa
Hio namba 3 iliniboa sana I see. ATCL wako bei sana. Wangetuachia tu Fastjet iende KigomaWalianza kwenye
1. Wakandalasi.... Tenda watu binafsi wakanyimwa.... Mambo TEMSA, TBA etc.... hadi tukaja na expansion joint
2. Wakaingia PRIVATE SCHOOL... wakasema ukisoma huko, MKOPO ELIMU YA JUU SAHAU
3. Ndege... FASTJET ROUTE YA KIGOMA IKAWEKEWA MBWEMBWE...
4. Leo wamehamia kwenye Ving'amuzi.... LOcal chanels zote kwaheri..... kasoro TBC, kama ilivyokuwa ATCL, TEMESA, TBA
YAFUTAYO YA MUENDELEZO HUO
Halafu kuna watu WANASHANGILIA TENA KWA POVU LA MOYO MKUUHio namba 3 iliniboa sana I see. ATCL wako bei sana. Wangetuachia tu Fastjet iende Kigoma