Hata mimi nna zaidi ya mwezi siipati. Nimejaribu kuuliza kwa marafiki zangu kadhaa nao wameniambia hawaipati pia.natumia ungo kupata chanel za tv,but ni wiki ya nne sasa TBC1 siipati,JE apo ulipo mwaipata uki2mia ungo??
Kama waipata ni freq.gani??
Yan si mimi 2 ni wilaya ya rombo ha2patiinapatikana mkuu kwa freq. zilezile na saa hii wana kipindi cha watoto na American Garden. Cheki ungo huenda umeyumba kidogo. jaribu kuuchekecha. mie pia natumia ungo wa 8 wa wavu made in gereji bubu.
Yan si mimi 2 ni wilaya ya rombo ha2pati
mimi nipo Botswana naipata vizuri kila sikunatumia ungo kupata chanel za tv,but ni wiki ya nne sasa TBC1 siipati,JE apo ulipo mwaipata uki2mia ungo??
Kama waipata ni freq.gani??
Kweli kabisa mkuu. Juzi asubuhi ilibeep kwa muda then ikasepa mazima.Hata mie nina mwezi sasa siipati,ila juzi alhamisi ilirudi asubuhi kwa muda wa saa 1 na kupotea tena.
Yan si mimi 2 ni wilaya ya rombo ha2pati
ndo nimeamini awa tbc wanafanya kazi ya kuficha mambo ya kuiumbua serikali afu wanasingizia mitambo niyazamani,wakati si kweli bali wameambiwa washushe signa ili watu wachache waone madudu yanayotokea bungeni ili co tabu 2tafaham 2 ayo madudu,,,,,,Mkoa wa Mtwara na wilaya zake zote;Newala, Tandahimba, Masasi,Nanyumbu na Mtwara vijijini hakuna kitu kbs tunachoambulia ni NO SIGNAL!! wadau wanadai eti hawa tbc wameshusha signal kulazmisha watu wanunue hvo ving'amuzi vyao na wamejisahau kuw hvo ving'amuzi vyao vinafanya kazi tu kwenye mikoa michache ambako mitambo ya digital imewashwa. Ila kwa vile bunge linaisha poa tu.
Mimi niko Tegeta lakini siipati kabisa TBC1 kwenye dish la futi 6 kama mwezi hivi. Lakini sijutii kwa kuwa sina ninachopoteza