Hata hivyo kipindi chenyewe mwananchi ambaye haelewi kiingereza alikuwa hafaidiki kwa chochote.
Sijawahi kuelewa hiki kipindi kilikuwa kinalenga kutoa elimu kwa nani haswa?
tbc again..
Wasiwasi wao tu, wangejua watu wengi wameshaachana Tbc wange acha tu kibaki maana hamna wanaofikiria kama kuna kituo kinaitwa tbc. Naona wafungie na taarifa za habari.Kuna taarifa kuwa Shirika la utangazaji la Taifa (TBC) limekisimamisha kipindi chake cha This week in perspective kinachoendeshwa na Adam Simbeye bila maelezo ya kueleweka.
Hata hivyo imeelezwa na watu wa ndani kuwa mijadala ya kipindi hicho imekuwa mikali kwa Serikali, hivyo wakubwa hawataki.
nasikia mkurugenzi wa tbc lugha haipandi huwa ana wasiwasi wanamteta..
Wangekiacha tu wananchi wengi hawajui kikristo.