TBC wasusia habari ya kamati ya waziri Nape na TEF

Unataka mkurugenzi wake atumbuliwe? Mkuu ameshasema kuwa Daudi ndo mwanae mpendwa aliyependezwa naye.

Ingawa kuna ka tetesi kuwa mwana mpendwa ndo anajua kitendawili cha Saa8. Kama ni kweli sahau kuhusu Daudi kutumbuliwa. Kumbuka Daudi utata wake uko kwenye cheti cha F4. Sasa yupi wa kulaumiwa mwenye CSEE feki au PhD feki?
 
TBC ikiachwa ijiendeshe kwisha kazi inaenda na maji wakati wenzao wanajiendesha ndo maana wana kuwa wabunifu. Yani TBC mwaka unaanza unaisha nothing new
 
Nape ana wakati mgumu sana kwa kweli anaweza hata kufukuzwa kazi.
Kwa hili sakata linaloendelea.
 
TV stations zote zinarusha taarifa hiyo wakiwemo startv lkn TBC wamezitupilia mbali. Usaliti wa wazi kwa watanzania.

Kaka Ayoub Lyoba kajishushia heshima yake yote aliyoijenga katika Tasnia hii ya Habari, alikiwa mpambanaji mbobezi kwenye nyanja zake za habari, lakini tangu aingie TBC, akili zimemruka kabisa, Sio Lyoba yule aliyezoeleka
 
Back
Top Bottom