Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,740
- 10,240
Imekula kwako mzee!!TBC walitudanganya kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street. Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke yake kwa raha zake.
Nimekata tamaa. Naenda kuwaripoti ICC.
By. Habil and Qabil
hahaaTBC wana kaumama flani hivi ka kikuda sanaa
Hao watu wamerudi tenaTBC walitudanganya peke zao kwa raha zao kwamba wangetuonesha mechi zote za World Cup.
Nikaamua peke zangu kwa raha zangu kununua big screens na kuziweka kwa street.
Cha ajabu, watu wanakusanyika kusubiri mechi, TBC mara wanazindua vipindi vipya vya Safari Channel, mara mama yao anaongea peke zake kwa raha zake.
Nimekata tamaa. Naenda kuwaripoti ICC.
By. Habil and Qabil
Ila wewe jamaa huwa unafurahisha sana na post zako halafu ni platinum member
hahahaYaani TBC ya mama kazi kweli??
nilisahau nikawaamini matapeli hawaWe kabisa na akili zako ukawaamini TBCCM 🤣