Anasema ana mambo 3
1. Ni kuh Malawi. huko anasema Malawi wanasema hawakuwa tayari kuzungumza. Hivyo tz inasubiri na kujipanga.
2. Anashukuru kwa mkutano wa Agra, uliofanyika Ngurudoto. Anawapongeza wenye hotel kumudu wageni wengi zaidi ya waliotarajiwa
Anasema ana mambo 3
1. Ni kuh Malawi. huko anasema Malawi wanasema hawakuwa tayari kuzungumza. Hivyo tz inasubiri na kujipanga.
2. Anashukuru kwa mkutano wa Agra, uliofanyika Ngurudoto. Anawapongeza wenye hotel kumudu wageni wengi zaidi ya waliotarajiwa.
Anazidi kuwatia moyo wakulima katika shughuli za kilimo. Nia ni kuleta mapinduzi ya kilimo. Utafiti na masoko. Walikubaliana kuongeza uwekezaji katika kilimo. Nia ni kuleta mapinduzi ya kilimo. Utafiti na masoko. Walikubaliana kuongeza uwekezaji katika kilimo.Anawalalamikia wafadhili kwa kutokutusaidia zaidi. Kama zamani waliweza kutoa misaada kwa nini washindwe sasa?
Jamaa kamaliza kwa kulaumu wanaohamisha wafuasi wao kuvunja amani. Kamtaja Mwangosi kidogo na kuwa na jambo la kusikitisha. Lakini ameomba polisi watendewe haki wasibebeshwe lawama wasiohusika. Pia kasema polisi wamefundishwa wasitumie nguvu kupita kiasi. Anasema wale waliotumia nguvu zaidi ya inavyotakiwa siku za nyuma wamechukuliwa hatua na hata siku za karibuni.
TBC si wangesema kwamba BABA YETU anaumwa na yuko DHAIFU kwahiyo hatazungumzia kuhusu KUMTOA JOHN TENDWA, KUWAFUNGA MAFISADI na pia KUAJIRI MADAKTARI ZAIDI NA KUZUNGUMZIA KUHUSU uchumi wetu dhaifu!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.