Tbc wamesema jk ataongea na taifa

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Naona ndio sasa hivi anaanza mara zote ni usiku ulioendelea je ni wosia wa Sheikh Yahya?
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Anasema ana mambo 3
1. Ni kuh Malawi. huko anasema Malawi wanasema hawakuwa tayari kuzungumza. Hivyo tz inasubiri na kujipanga.
2. Anashukuru kwa mkutano wa Agra, uliofanyika Ngurudoto. Anawapongeza wenye hotel kumudu wageni wengi zaidi ya waliotarajiwa
 

Kibagata

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
773
250
Yaani huyu jamaa mambo yanayogusa jamii hazungumzi ila anazungumzia kuwapongeza wenye hotel? Kweli huyu DHAIFU
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Anasema ana mambo 3
1. Ni kuh Malawi. huko anasema Malawi wanasema hawakuwa tayari kuzungumza. Hivyo tz inasubiri na kujipanga.
2. Anashukuru kwa mkutano wa Agra, uliofanyika Ngurudoto. Anawapongeza wenye hotel kumudu wageni wengi zaidi ya waliotarajiwa.
 

Khakha

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
2,983
1,500
nilikuwa mitaa ya airport, sasa hivi anakata mawingu na ndege ya uswizi. wazee wa kurekodi safari zake toka aingie magogoni, ni ya ngapi hii.
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
  1. Anazidi kuwatia moyo wakulima katika shughuli za kilimo. Nia ni kuleta mapinduzi ya kilimo. Utafiti na masoko. Walikubaliana kuongeza uwekezaji katika kilimo. Nia ni kuleta mapinduzi ya kilimo. Utafiti na masoko. Walikubaliana kuongeza uwekezaji katika kilimo.Anawalalamikia wafadhili kwa kutokutusaidia zaidi. Kama zamani waliweza kutoa misaada kwa nini washindwe sasa?
 

Omulangi

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
1,033
1,500
Jamaa kamaliza kwa kulaumu wanaohamisha wafuasi wao kuvunja amani. Kamtaja Mwangosi kidogo na kuwa na jambo la kusikitisha. Lakini ameomba polisi watendewe haki wasibebeshwe lawama wasiohusika. Pia kasema polisi wamefundishwa wasitumie nguvu kupita kiasi. Anasema wale waliotumia nguvu zaidi ya inavyotakiwa siku za nyuma wamechukuliwa hatua na hata siku za karibuni.
 

sindano butu

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
488
250
Yaani huyu jamaa mambo yanayogusa jamii hazungumzi ila anazungumzia kuwapongeza wenye hotel? Kweli huyu DHAIFU

TBC si wangesema kwamba BABA YETU anaumwa na yuko DHAIFU kwahiyo hatazungumzia kuhusu KUMTOA JOHN TENDWA, KUWAFUNGA MAFISADI na pia KUAJIRI MADAKTARI ZAIDI NA KUZUNGUMZIA KUHUSU uchumi wetu dhaifu!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom