Tbc wachovu kweli

Tbc wachovu kweli

Hawa jamaa yaani ukitaka kuona uchovu wao wafuatilie kwa siku moja tuu yaani toka asubuhi mpaka jioni uone makosa ya kuifundi na vyenginevyo

mi huwa nina tendecy ya kuangalia hqbari asubuhi na jioni
Nikianza na jambo tanzania - makosa nje nje mpaka najiuliza hivi wana producer kweli
Ukija kwenye taarifa za habari nako ni balaa tuu

kwa mtazamo wangu sijui kama wataweza ku-compete na wengine

Alafu niulize hivi hizi tv za tanzania wana nini na dark colours?? Yaani hizi news room zao hazina mvuto kwa kweli... Marangi mabaya yaani, hwai...!
 
Serikali yote chovu kifedha - TBC itaponea wapi?
 
Hao bwana inatakiwa wafunge matangazo yao kwa muda fulani na kupata mafunzo, wanakera sana!
 
Back
Top Bottom