shayookoko JF-Expert Member Jan 2, 2014 467 277 Jul 13, 2016 #1 Tokea jana 4 usuku namuona Mh Magufuli anahutubia tu na sauti hamna. Leo tena hali ni hiyo hiyo, hamnakinachoendelea zaidi ya hotuba na sauti hamna.
Tokea jana 4 usuku namuona Mh Magufuli anahutubia tu na sauti hamna. Leo tena hali ni hiyo hiyo, hamnakinachoendelea zaidi ya hotuba na sauti hamna.
Utotole JF-Expert Member Oct 28, 2010 6,607 4,263 Jul 13, 2016 #2 Angalia channels zingine tu ndugu. Hao achana nao
shayookoko JF-Expert Member Jan 2, 2014 467 277 Jan 11, 2017 Thread starter #3 Siku nyingi sana sauti hamna tbc, nu station ya hovyo sana ile, achana nayo.