Tbc tbc tbc aibuuuuu jamani


Mkuu nakwambia huwa nakasirika nikiona mashirika yetu ya UMMA yanashindwa kufanya vitu vingine ambavyo viko obvious tu, mimi nimesomeshwa na serikali yetu hii tukufu bure tena ng'ambo nikiona watu walisomeshwa na Serikali hii wanakosa uzalendo au ubunifu huwa nashindwa kuelewa.

Chukulia mfano wa kudesign TOVUTI, ni kazi rahisi sana it is not a rocket science, wala si lazima ujuwe HTM Language ambayo ina consist text na tags. Package za Microsoft Office huwa zina-include FrontPage application program ya kukusaidia kudesign a brilliant WEBSITE on a fly. Ukiona kuanza ku create webpages kutumia template kutakupotezea muda basi unachagua kutumia option ya wizard ambayo inakuhuliza series za maswali yaani kitu gani unataka kiwekwe kwenye web site yako - majibu yako ndiyo yanatumika ku create web site yako, badae unaweza ku-costumize au kuongezea madoido mengi tu, picha, video, sauti, frames etc baada ya hapo unaweza ukahost hiyo site yako kwenye server yako au ukahamua kutumia kampuni yenye kufanya hivyo, kwa mwenye nia thabiti ya kujifunza hawezi kuchukuwa zaidi ya siku nne kufanikisha hilo - sasa shida hiko wapi.

Tembelea mashirika mengi ya UMMA utakuta Computer zao zina application hii muhimu lakini hawajuhi kama hipo kwenye Computer zao, a very powerful computer inatumika kwenye mambo ya wordprocessing, spreadsheet na ku-browse mtandao ni mara chache zinatumika for database applicatons. Hapa nataka nieleweke kwamba si application ya FrontPage peke yake inayo tumika duniani kusaidia kudesign websites, wapo vile vile vendors wengine wanao huza application programs zao zinazofanya kazi hiyo hiyo, hapa FrontPage nimeipa kipaumbele kwa sababu inapatikana kirahisi kwenye computer nyingi zenye Microsoft Office, Gooday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…