Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Aisee kuna vitu na vituko. TBC ni wapumbavu sana, jana habari nzima ni ccm, alafu ndio tv ya taifa. Hii nchi, yaani badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma. Koffi anan na magufuli tena, mtu aliyepewa nobel prize unaweza mfananisha na mbadilisha matokeo ya uchaguzi kwa mwamvuli wa uzalendo. Ujinga mwingine umepitiliza.leo TBC walitutangazia kuwa ifikapo saa 4 kamili watakua na kipindi cha maisha ya the late koffi anan
Mimi nilitegemea documentary ya maana kama zile nilizozizoea HISTORY CHANNEL au CCCTV kwenye kipindi cha FACES OF AFRICA
matokeo yake,kipindi hiki kimechelewa kuanza kwa kuanza saa 4 na dakika 16 (hawa hawaendani kabisa na mabadiriko ya science na teknolojia, channel zote international kipindi kinaanza sekunde kadhaa kabla)
Nikasema anyway isiwe tabu, kitu kilichonishangaza kama sio kuniuzunisha, mtangazaji amemualika profesa wa chuo cha diplomasia ambaye naye anaongea tu vitu vya ajabu hajibu hoja vizuri
Kilichoniudhunisha zaidi ni kuwa nilitegemea kipindi hiki tungeambiwa maisha ya the late koffi anan tokea akiwa mtoto mpaka alipofikia
Lakini mtangazaji na profesa wake wakaanza kuongelea mwaka 1997 wakijikita kwenye uongozi tu wa bwana huyu
Katika dakika za mwisho kama ilivyokawaida ya TBC mtangazaji akaanza kumfananisha koffi anan na magufuli ,kitu ambacho professa alionekana kukipenda wakaanza kumsifia magufuli na kwenda mbali zaidi wakidai Magufuli hadi wakenya wanamtamani awe rais wao
Hii ndio channel yetu tuliobakiziwa kwenye ving'amuzi , nimesikitika sana mpaka kukumbuka kauli za member wa JF wanaodai wana miaka hawajaangalia TBC
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima aisee, profesa mpaka akamfananisha maguguli na nyerere, [emoji52]labda wanataka ukuu wa mikoa hao mkuu wana lengo lao ndo maana wanasifia sana
Yani watakosa watazamaji , kwanza taarifa yao ya habari haina mpangilio, mara waanze na ya kitaifa wa mix na michezo then warudi za kimataifaAisee kuna vitu na vituko. TBC ni wapumbavu sana, jana habari nzima ni ccm, alafu ndio tv ya taifa. Hii nchi, yaani badala ya kwenda mbele tunarudi nyuma. Koffi anan na magufuli tena, mtu aliyepewa nobel prize unaweza mfananisha na mbadilisha matokeo ya uchaguzi kwa mwamvuli wa uzalendo. Ujinga mwingine umepitiliza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tabu iko pale pape. Nimepoteza saa zima afu hakuna cha maana nilichoangalia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujue nafanya kazi TBC mkuu.Mkuu tabu iko pale pape. Nimepoteza saa zima afu hakuna cha maana nilichoangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
wanaenda na kasi mkuuila ni huo mda wa kukaa lisaa lizima niangalie taarifa ya habari TBC bora ata niutumie kuchambua mechi kwenye bettingLazima aisee, profesa mpaka akamfananisha maguguli na nyerere, [emoji52]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuzeeka wakati upo kijanaKufanya kaz pale TBC ni sawa na kukubali kufanywa mjinga kwa hiari yako.
Hahaha kumbe, bora mkuu nikupe ujumbe wangu, mfikishie huyo co-worker mwambie kanikera sana na kipindi chakeUjue nafanya kazi TBC mkuu.
Hahaha .leo mimi imebidi niangalie tu ,nilikua na matumaini kipindi kingependezawanaenda na kasi mkuuila ni huo mda wa kukaa lisaa lizima niangalie taarifa ya habari TBC bora ata niutumie kuchambua mechi kwenye betting
Bora kuangalia hizo channel aiseeMi home nmepiga marufuku kuview tbc familia nzima ktk dstv yangu saiz tupo bongo movie, kbc, k24, ktn, algezila, cmc, nk
Hahaha[emoji23] wale watu bana, ukiangalia kbc au ktn unaezashindwa kujua rais wa kenya ni nani hata siku 2