TBC ovyoo!

sasa mkubwa siku zooooooote hizo hujajua tu.....he he he he we wa zamani kweli kweli.......
 
Nakubali kuwa mtoa uzi si mzoefu wa siasa ila ni mwanaharakati.
 

Sitaki kujihusisha na uwezo wako wa uchambuzi ila nakujulisha kuwa yule katibu wa CHADEMA Morogoro alipoachia ngazi habari ilitangazwa TBC kwa uzito mkubwa tu.
 

Acha ushabiki usiokuwa na maana wewe! Hawana haki ya kukataa chochote wakati kula yao inatoka kwenye kodi zetu.

Anayeona hawezi kutangaza balanced news aondoke akangoje CCM waanzishe TV yao Binafsi inayogharamiwa na ada za Wanachama wao.

Hiyo inagharamiwa na Kodi zake kwa hiyo itake isitake ni lazima itangaze habari za vyama vyote kwa usawa sio kuogopa ogopa wanasiasa!
 

TBC plus mahakama ya kisutu ni mihimiri ambako serikali upata pakujitetea kwasababu wauDHAIFU wao wakutaka kudeka mbele ya wananchi. TBC ni kama BUSHA WATANZANIA TUJELINYOE lisije likatuebisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…