Tbc niaje wakubwa?

Kubingwa

JF-Expert Member
Apr 23, 2010
505
69
Inasikitisha sana
1.Hawajaonyesha habari ya zito.
2.Kuhusu pingamizi la ubunge kilwa kusini lililotupiliwa mbali na mahakama kuu,wamesema mgombea wa ccm ameshinda wakati wa cuf ndiye aliyeshinda
 

ZALEOLEO

Senior Member
Oct 11, 2011
116
18
Inasikitisha sana
1.Hawajaonyesha habari ya zito.
2.Kuhusu pingamizi la ubunge kilwa kusini lililotupiliwa mbali na mahakama kuu,wamesema mgombea wa ccm ameshinda wakati wa cuf ndiye aliyeshinda
waoneshe wakati ni pigo kwao?
 

mzee wa njaa

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
1,366
222
Hv TBC1 bado ipo? Mi nachofahamu alipoondoka Tirdo Mhando aliondoka nayo sasa hv yamebaki makapi tu pale. Huyo mshana hana lolote Magamba na yeye tu.
 

Chimunguru

JF-Expert Member
May 3, 2009
10,675
4,300
Natamani ili Transformer ingacha majivu tu pale TBC. Kodi zetu zinaliwa bure tu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom