W Wachu macheke Senior Member Joined Oct 8, 2024 Posts 171 Reaction score 347 Aug 9, 2025 #21 Bora hata hizo kamera sisi huku ni mwendo wa giza umeme hakuna
Masagala JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 4,229 Reaction score 8,248 Aug 9, 2025 #22 franci45 said: 😂😂 Af warushe live kupitia TikTok maana Huwa Ina quality 😂 Click to expand... Imeisha Hiyo
franci45 said: 😂😂 Af warushe live kupitia TikTok maana Huwa Ina quality 😂 Click to expand... Imeisha Hiyo
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,082 Aug 9, 2025 #23 Kumbe TBC bado ipo
F franci45 Member Joined Nov 8, 2023 Posts 74 Reaction score 111 Aug 9, 2025 Thread starter #24 Joanah said: Kumbe TBC bado ipo Click to expand... Ipo lkn ishakufa kwenye mindset ya watu 😂
J Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 26,346 Reaction score 97,082 Aug 9, 2025 #25 franci45 said: Ipo lkn ishakufa kwenye mindset ya watu 😂 Click to expand... Ni kweli
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,261 Reaction score 2,898 Aug 9, 2025 #26 Loh! HD ni 28,000 tu boss!!!
F franci45 Member Joined Nov 8, 2023 Posts 74 Reaction score 111 Aug 9, 2025 Thread starter #27 Driver proffesional said: Loh! HD ni 28,000 tu boss!!! Click to expand... Mchawi maokoto
Veteran Sailor JF-Expert Member Joined May 28, 2025 Posts 1,869 Reaction score 3,848 Aug 9, 2025 #28 franci45 said: Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha Click to expand... Bora huko TBC, huku azam sports1 leo wametuwekea mtangazaji wa redio atangaze mpira wa Tv.
franci45 said: Ni aibu kuona TBC Bado inatumia camera zenye ubora mdogo wao bora sauti isikike ubora picha tutatafuta sisi watazamaji ni kwamba serikali imeshindwa kabisa kuboresha Click to expand... Bora huko TBC, huku azam sports1 leo wametuwekea mtangazaji wa redio atangaze mpira wa Tv.
Driver proffesional JF-Expert Member Joined Feb 18, 2022 Posts 1,261 Reaction score 2,898 Aug 9, 2025 #29 franci45 said: Mchawi maokoto Click to expand... Pole mdau . Ila amin siku moja itawezekana zaid ya hapo kikubwa tuendelee kupambana .
franci45 said: Mchawi maokoto Click to expand... Pole mdau . Ila amin siku moja itawezekana zaid ya hapo kikubwa tuendelee kupambana .