TBC na World Cup Brazil 2014

TBC na World Cup Brazil 2014

nyau wawili

Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
9
Reaction score
1
Zikiwa zimebaki takribani wiki mbili kabla ya kuanza michuano mikubwa ya kabumbu duniani.Huku mashabiki wa soka tumekuwa tukifanya maandalizi ya ili kuweza kushuhudia michuano hiyo.Binafsi sina imani sana na televisheni yetu ya taifa kutuonyesha michuano iyo kama wanavyotuahidi.Nina imani miongoni mwetu wanaJF tunaweza kuwa na details kama hii ahadi ya TBC itatimizika.Msaada wenu wadau!!!
 
Back
Top Bottom