TBC mnafeli wapi?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
May 29, 2020
888
821
Nipo naangalia hapa mauzo ya tanzanite ya mchimbaji mdogo yenye zaidi ya bilion saba matangazo yake hayana ubora kabisa.

Mapungufu.
1. Wanao ongea hawatambulishwi na sign bord screen! Maana yake kama husikii huwezi jua ninani anaeongea.
2. Picha hazina ubora
3.sauti inakulazimu upandishe sana ili upate usikivu, wakati mwingine inajipandisha yenyewe na kujishusha yenyewe

Mwisho.screen ya TBC imebanwa sana kwa maana ya min mise sana.

Yani saivi mnzidiwa mpaka na chanel ten.
TBC yataifa tatizo lenu ni nini???

Picha mnato nazo hazina ubora, cjui tatizo ni nini
 
isee hilo dini ni kubwa kweli leo ndio nimeona dini kubwa hivi... hongera kwake mmasai wa watu atimaye ameula bil.7.6 sio mchezo..
 
Manyampara ya mabeberu yanaumia kweli.
Mungu akiamua kukupa shetani hawezi kuziba zaidi ya kulalamika.

7.744 .703.152.82 simchezo

Hapo hakuna cha mbunge ati kalipwa posho za ubunge! Mmasai kafunika.
 
yani watumishi wakiwa na kazi zenye mishahara ya uhakika kila mwisho wa mwezi mpaka wanastaafu uweledi unakua haupo na hii ndio sababu vituo vya habari binafsi wanaizidi tbc maana kule ukizembea kitu kidogo kibarua kinaota nyasi
 
We angalia mtu wa TBC nae ni mzungumzaji wakati mshehereshaji anaongea matokeo yake sauti zao ndo zinabishana inakuwa kelele.

Huyu mtangazaji wa tbc siatulie tumsikilize mshehereshaji anapoongea???
 
Kuna Star tv sasa ubora wa picha watangazi unaeza dhani wanmepakwa matope.Sijuwi hawajifunzi kwa wenzao walokuja juzi tu UTV.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom