Nashangaa TBC hawaonyeshi mpira wa Tanzania vs Zimbabwe,wakati KBC wanaonyesha live mechi Kati ya Kenya vs Comoro.TFF kuweni makini hii ni mechi ya Watanzania wote na kila mtu anapaswa kuona live.Duniani kote mechi za Timu za Taifa zinaonyeshwa kwenye Television za serikali.Tujifunze kwa wenzetu.