TBC mbona hawasikii?!

vamda

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
867
536
TBC wamekata tena matangazo ya fainali ya BONGO STAR SEARCH mida ya saa 7:32 usiku. Hapo awali walichelewa kuanza. Badala ya kuanza saa 3 usiku walianza saa 5 kasoro. Hii TV ya taifa sijui tuifanyeje watanzania?
 
Akina Masanja na Joti waliwaigiza sana kuhusu kukata matangazo na
kuwaomba radhi watazamaji ila hawajalitendea kazi. Hii ni noma....
 
Back
Top Bottom