U cant believe alikataa kabisa jada kwamba alikuwa ni demu wake.
But more than a friend.
Kichaa cha pac kilikuwa kikipanda hata mama AFENI alikuwa hawezi kumtuliza ila jada(mama jayden)ndio aliweza kumtuliza mzuka huyu jamaa.
A
likiri kwamba alikuwa ni mtu wa muhimu kwake katika maisha kuliko muziki.