TBC kwa mara nyingine wachemsha live coverage leo

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Wadau mimi kama mmoja wa waumini wa dini ya kikristu leo tulitangaziwa kuwa ibada ya mkesha wa xmass itafanyika Bukoba mkoani Kagera na TBC wataonyesha live..sikwenda kanisani leo nikisubiri niangalie tukio kupita television ya taifa....kwa ufupi ibada inaendelea sasa hivi TBC live.. lakini jambo la kusikitisha na pengine kuweza kumtoa machozi mtu ni kwamba tukio lipo live ila sio picha wala sauti ya tukio inayoonyesha uafadhari hata kiduchu...utadhani ndo kipindi kile miaka ya 1890 walipokuwa wenzetu wa magharibi wanafanya ugunduzi wa kurusha matangazo ya tv live...nadhani na ndo maana Mukulu akaamua kujiangalizia 360 ya Ruge siku hizi...Aisee hii inatia hasira saana hasa pale unapoambiwa Kuwa kuna "maengineers"au IT experts wa TBC wamekula per diems na wapo Kagera zaidi ya wiki wakiandaa ujinga huu ninaoungalia live...God must be crazy kwa kweli....
 
Nashukuru wanangu ukuwaambia nakaka kuangalia taarifa ya hbr....ama watakuwekea itv au chnl 10. Nina muaka mitano ssasa cijawah angalia tbcccmmm
 
Back
Top Bottom