MANGUNGO
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 1,536
- 354
Asalaaam wana jammvi:Leo asubuhi ktk jambo kwenye kipengele cha kusoma magazeti,TBC na mtangazaji wao ameonekana akiwa na magazeti ma3 tu,yaani JAMBO LEO,MTANZANIA na UHURU,na magazeti haya yana vichwa vya habari vya kukishambulia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA),huku msomaji akisoma kiushabiki na akidai magazeti mengine kama nipashe,rai,mwananchi hayajafika,najiuliza inawezekana vp kwa kituo cha Star tv kuyapta magazeti yote ya leo saa 12 alfajili?alafu TBC saa 01:30 asubuhi waseme hayajafika kama si fitna dhidi ya CHADEMA?na kibaya mkitumia kodi zetu sisi walala hoi,huu ni upuuzi