South
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,514
- 5,139
Kila nikitizama tbc wanapiga tu miziki, sijui hata kinachoendelea bungeni, kuna dalili ile ya kila chombo cha habari kujiunga na tbc saa mbili usiku kuangalia habari utake usitake kupitishwa pia.
Hata yule mgombea wa marekani kusema waafrika tunaweza tu starehe ni sahihi na tunahitaji kutawaliwa miaka mia zaidi yupo sahihi. Huwezi kukubali kurusha harusi live harafu uzuie kurusha mambo ya kitaifa, kuna vitu gani wanataka kuficha. Eti vitarekodiwa na kurushwa saa nne!! Ili mu-edit???