MotoYaMbongo
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,146
- 887
baadae wataonyesha wimbo wa Vicky Kamata.
Hivi lile igizo la Mfalme wa Salata....haliji tena???
Mgomo ni dhidi ya serikali na wao ni sehemu ya serikali......:lol::eyebrows::embarassed2:
kazi ipo[/QUOTE
Ni bora ikafutika na kuitwa TVT maana nyuso za watangazaji na waandaaji wa vipindi zimechoka kweli kweli............kwishineee, wana mkumbuka Tidoooo