zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
riport ya uokoaji kutoka SA na TZ,
Yatua mezani mwa SMZ.
kikubwa wamekiri udhaifu wao wa kushindwa kuokoa baadhi ya miili.
Kingine kikosi cha SA Kimetoa shukran kwa Ushirikiano waliopata kipindi chote wakiwa TZ
.