M Mjenda Chilo JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 1,474 Reaction score 530 Apr 24, 2013 #1 Ukiachana na biashara za matusi bungeni leo nilikuwa na hamu ya kusikia bujeti ya wizara ya maji nikiamini huenda ikatoa mwanga ili nami mkazi wa jiji kuu la Tanzania niache kuoga kwa kutumia kopo lakini naona midomo na picha sauti hamna, kunani?
Ukiachana na biashara za matusi bungeni leo nilikuwa na hamu ya kusikia bujeti ya wizara ya maji nikiamini huenda ikatoa mwanga ili nami mkazi wa jiji kuu la Tanzania niache kuoga kwa kutumia kopo lakini naona midomo na picha sauti hamna, kunani?
S slufay JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 1,387 Reaction score 161 Apr 24, 2013 #2 Wanalinda cccm watanyimwa ruzuku