Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.
TV ya taifa ni janga la kitaifa huwezi kujivunia kabisa kuwa nchi ina kituo bora cha tv
Mkuu kumbe upo bongo nilijua ushachana passport yetubig up
aisee hata mie niliamka nikaenda kuzima redio nikahisi wanaingiliana lakini nikashangaa mbona sauti za ajabu ajabu kama watu wanaangalia x movie..nikatoa macho yote labda wataturushia kwa muda wapi wakawahi kurekebisha
Huwezi amini lakini nfo ukweli mda huu taarifa ya habari inasomwa huku kuna nyimbo inapigwa kama vile muvi flani ndo staring anakuja kukomboa mateka walio tekwa.
TV ya taifa ni janga la kitaifa huwezi kujivunia kabisa kuwa nchi ina kituo bora cha tv
Toka wamemuondoa Tido mambo yanaenda mrama tu, sijui wanatatizo gani. Sauti zimekuwa zikiingiliana kwenye habari kwa zaidi ya takika 3 bila ya kufanya lolote!. Aibu kweli.
Hakika, nami niliyaona madudu hayo TBC, yumkini ni ya kibinadamu, lakini nimesikitishwa kwa watangazaji wa TBC kushindwa kutuomba radhi watazamaji. Wana nafasi ya kufanya hivyo hata kesho, kama kweli wanatuheshimu.
Utamaduni wa kuomba radhi na kuwajibika kwa matendo yetu ni mgumu sana hata kama haugharimu chochote, misingi hii ndiyo inayo kwenda hadi kenye level ya uwajibikaji inapotokea mtu kushindwa kutimiza wajibu wake
inabidi tuunde kamati ya kufuatilia kiini cha tatizo kabla ya kuanza kuishambulia TBC kwani tbc imeleta naitaendelea kuleta mageuzi makubwa ndani ya taifa hili,imefanya mengi mazuri tusiyasahau .kosa moja halimfukuzi mke