TBC-1: ya nini yote haya??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC-1: ya nini yote haya???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ngoshwe, Nov 24, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  TBC-1 leo wametudhihirishiwa wazi kuwa wanafanya kazi kwa maagizo maalumu ya Serikali. Kuna habari toka Dodoma walikuwa wanairusha katika taarifa ya habari ya usiku huu wa saa mbili. Mhe. Waziri Mkuu wakiongea na viongozi wa madhebu ya Dini kuhusu masuala mbalimbali hasa la mustakabali wa Katiba..habari hii ambayo iliandaliwa na Victoria Patrick wa TBC Dodoma, ilionyesha wazi kuwa imegoma kwenda hewani, ilikwaruza n.... . Lakini cha kushangaza, wasoma habari wa TBC akiwemo JOYCE KINGALAME waliing'ang'ania zaidi ya mara tatu kuitoa hewani lakini bila mafanikio wakasema "Victoria Patrick hayupo tayari..tuendelee na habari nyingine .

  Cha kusitaajabisha, mwisho kabisa mwa hitimisho la habari kabla ya kuingia habari za michezo, wakairejea tena hiyo habari ya Dodoma wakisema ...habari yetu ya Pili....sasa mwandishi wetu Victoria Patrick yupo tayari toka Dodoma.....

  Tofauti na habari nyingine ambazo zikigoma wanazipotezea, lakini hii ya leo ni ya kustaajabisha kwa TBC.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  they always being manipulated................SISHANGAI.
   
 3. m

  maluguthengosha Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  watashndwa kujiendesha kibiashara.ITV jipangeni muwakimbize km zamani
   
 4. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Hao hawana maana kabisa ndio maana walimtoa Tido ili wafanyw upuuzi wao
   
Loading...