TBC 1 warusha harusi LIVE. Waziri Nape acharuka, awataka watoe maelezo ya kina

Huyu alielipia kipindi kirushwe live cha harusi yake..nae achunguzwe..a
Kama kuna majipu yatumbuliwe haraka sana

Ni sangoma kama yule Wa pale Ilala bungoni alieibukiwa na naibu waziri
 
Dah hata mimi nimeona na imenisikitisha...... TBC nalo ni jipu kaka nape baba magufuli hebu litumbueni
Ulitaka irushe nini? Nyinyi tu na TBC yenu, mimi sijui hata kama hiki king'amuzi cha Azam nilichonacho kina channel hii,Labda ni mjini tu mnapata!!!!
 
Ata kama mpo kibiaahara sio kuonesha Harusi.
So wale waganga wa kienyeji wakija kuomba kwenu coverage namna wanavyotoa watu uchawi mtawapa coverage kisa ela.
Mnapaswa kujitambua aina ya TV mnayoendesha.
Vinginevyo mmetuboa na kodi zetu
 
Ghafla bakuri langu la popcorn lilianguka popcorn zote zikamwagika muda ule Wa story ya Nuhu na Dada Wa vazi LA blue,narudi toka jikoni na popcorn mpya movie ya harusi ya sangoma imeisha,sijui iliisha kama Picha LA kihindi?
Au bwana harusi alikuwa na ujumbe maalumu kwa bongo movie kuwa kuact movie sio kazi ya kina Ray,Jay b n co bali hata Dr sangoma anaweza act....kweli TBC katika ubora Wao.
 
Kingamuzi changu cha Digitek hakioneshi TBC sijui sababu ni nini.Tume ya mawasiliano nisaidieni.Mimi napenda sana vipindi vya TBC ya taifa langu.
 
Huyu alielipia kipindi kirushwe live cha harusi yake..nae achunguzwe..a
Kama kuna majipu yatumbuliwe haraka sana

Nadhani hili lingetokea ulaya waziri husika angeshaachia ngazi!!
 
Back
Top Bottom