TBA: Kukarabati jengo moja la ghorofa 4 ni Billion 35

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
Kitendawili cha mwaka

Kukarabati jengo moja LA ghorofa 4 wanatumia billion 35 na kujenga majengo 10 ya ghorofa 4 kila moja ni billion 10.

Nahisi mwandishi amejichanganya.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwakalinga alisema TBA ina mipango ya kuboresha na kujenga majengo mengine, lengo likiwa ni kila wizara kuwa na yake.

Soma zaidi: TBA: Serikali inalipia majengo ya Udom inayoyatumia
 
Juzi kati nikiwa na Gsam tulipinga sana udanganyifu unaofanywa na serikali kupitia TBA kuhusiana na gharama halisi za ujenzi wa hostel za Udsm.

Kuna watu walisema sisi ni sehemu ya wapiga dili na maneno kadha wa kadha,aya Leo mjionee watu wanavyojichanganya huko.

Kwa sisi wana sayansi tunajua kua 1+1=2, huezi danganya uhalisia
 
Zimetengwa kwa ajili ya ukarabati. Unaweza kupigwa chenga hapo hapo. Kutengwa si sawa na kutumiwa.
 
Hizi fedha zingeweza kulipa stahiki za watumishi wengi wa umma ila ni kwasababu hakuna anaejali na hakuna mtu wa kuwasemea watumishi wa umma.

Utawala mbaya sana huu!
Mkuu kiasi gani kimetumika kwa ajili ya ukarabati wa hili jengo?
 
Kitendawili cha mwaka

Kukarabati jengo moja LA ghorofa 4 wanatumia billion 35 na kujenga majengo 10 ya ghorofa 4 kila moja ni billion 10.

Nahisi mwandishi amejichanganya.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwakalinga alisema TBA ina mipango ya kuboresha na kujenga majengo mengine, lengo likiwa ni kila wizara kuwa na yake.

Soma zaidi: TBA: Serikali inalipia majengo ya Udom inayoyatumia
Ukiwa na akili kama za nyumbu ni Tabutupu . Mimi sina nia ya kutetea hiyo TBA lakini kwa mtu anayefikiria hata kidogo atajiuliza kwanza hayo majengo unayofananisha japo yana ghorofa 4 yote lakini yanafanana ukubwa, ujenzi wake nk? Unaweza kujenga majengo mawili yenye ghorofa 4 kila moja na moja gharama yake ikawa hata mara kumi ya jingine. Kwani gharama ya kujenga ghorofa inapatikana kwa kuhesabu ghorofa? Ushamba mzigo!
 
lakini utakarabati vipi jengo moja la ghorofa 4 kwa billion 35 wakati umejenga hostel za udsm kwa jumla ya billion 10 .
Mkuu nasema unaweza kupigwa chenga hapo; nani kakuambia kwamba zimetumika kukarabati? Amesema zimetengwa na siyo tayari zimetumika.
 
Hizi fedha zingeweza kulipa stahiki za watumishi wengi wa umma ila ni kwasababu hakuna anaejali na hakuna mtu wa kuwasemea watumishi wa umma.

Utawala mbaya sana huu!
Wewe mtu lazima unalipwa hela nyingi sana! Mwenzio wamemshtukia kakimbia nchi.
 
Ukiwa na akili kama za nyumbu ni Tabutupu . Mimi sina nia ya kutetea hiyo TBA lakini kwa mtu anayefikiria hata kidogo atajiuliza kwanza hayo majengo unayofananisha japo yana ghorofa 4 yote lakini yanafanana ukubwa, ujenzi wake nk? Unaweza kujenga majengo mawili yenye ghorofa 4 kila moja na moja gharama yake ikawa hata mara kumi ya jingine. Kwani gharama ya kujenga ghorofa inapatikana kwa kuhesabu ghorofa? Ushamba mzigo!
hata kwa ukubwa gani kukarabati kwa bill 35 sikubali, kumbuka hospitali ya simiyu wameambiwa wajenge kwa bill 10.
 
Wewe ni wanasayansi gani ambaye huwezi hata kuandika vizuri?

Bure kabisa, sasa wewe unaejua kuandika vizuri mbona sijaona uliporekebisha? Yule babako mwenye PHD asiejua kuongea vizuri ushawahi mwambia?? Au ndiyo mnaendelea kutoa oda na maagizo ya kuudanganya Uma?

Only low minded people like you will be deserved
 
Kitendawili cha mwaka

Kukarabati jengo moja LA ghorofa 4 wanatumia billion 35 na kujenga majengo 10 ya ghorofa 4 kila moja ni billion 10.

Nahisi mwandishi amejichanganya.

Akizungumza ofisini kwake juzi, Mwakalinga alisema TBA ina mipango ya kuboresha na kujenga majengo mengine, lengo likiwa ni kila wizara kuwa na yake.

Soma zaidi: TBA: Serikali inalipia majengo ya Udom inayoyatumia
Umenikumbusha wakati fulani ukarabati wa ikulu ulikula BILIONI 6 tasilimu
 
NAPENDA SANA TBA / JAMAA WAKO CHEAP AND ACCURATE / *REPEA YA 35 BIL HA HA HA / WIZI HAPA NI JELA TU HAKUNA HATA YA KUWAPELEKA MAHAKAMANI...
 
Back
Top Bottom