Tb joshua : Picha inaongea.....

aige na LUSEKELO sio kila siku yeye anatunzwa tu!
 
ametoka mbali sana maisha ni mapito huwezi kufanikiwa bila kupambana
 
Hayo ni maigizo tuu na promo la biashara. Biblia inakataza katakata unapotoa msaada kujionjesha na kujitangaza
 
Huyo siyo TB Joshua bhana ni mtu amevaa fulana yenye nembo ya kituo cha TV husika tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…