Mtumishi wa Mungu.
Member
- Aug 16, 2014
- 59
- 48
- Thread starter
-
- #21
Wewe kibaraka wa TB Joshua unayekesha hapa kujaribu kumsafisha TB Joshua, nakuambia unajidanganya mwenyewe. Mungu hadhihakiwi, kama udanganyifu wa Babu wa Loliondo ulivyofikia kikomo, vivyo hivyo udanganyifu wa TB Joshua umefikia kikomo. Mungu wa kweli ameipiga chini huduma ya nabii huyu feki, wala haiwezi kusimama tena!!! Biashara yake ya kutabiri maafa, na biashara yenu ya kuuza maji yake ya upako wa Ibilisi, imedoda!!!! Tafuteni biashara nyingine!!!!
Ni kweli kabisa hayo unayosema ni ya kiroho na hakuna lisilo la kiroho tatizo ni roho ipi???Tatizo unadhani na hii ni mijadala ya katiba hahaha! Ya ulimwengu wa roho huyawezi hahaha.
sijawi kuona hawa wanaojiita watumishi wa mungu wakawa na akili sawa sawa.
Sifa ya ibilisi ni kucheka tu !!! Wewe hujibu hoja kila siku na kila daika unakuja na agenda ya TB na kumungua Thread sisizo kwisha sasa ungekuwa na jambo la kuaminisha tungeamini tu lakini wewe una haha humu ???hahahaha una macho au matoke? hahaha hukuona kuwa kanisa ndo linafurika mara dufu saivi hahaha, wageni ndo hadi booking ipite ni miezi hahahaa. eti imefikia ukomo au wewe macho yako yamefikia ukomo?
TB Joshua anadunda na anahofu na ndo maana agent wake wanahaha kumtetea humu !TB Joshua bado anadunda mtaani eeenh???
Ndungu yangu wamekufa watu zaidi ya 100 hapo .
Je Mungu anawezakuachia hilo lifanyike kwa Mtumishi wake??
Wewe huwezi kujifunza hapo??
Yaani watu wakusanywe kwa ajiri ya Neno la Mungu harafu wauawe hapo??
Tunajua watu waliokufa kama hapo ni wale wa Sodoma na Gomora, Gharika, Babeli nk. Sasa unapaswa kufikiria mara mbili hapo kwa TB kuna dhambi gani??
Acha kucheka cheka Jibu hoja!!kwasababu nawewe hauna akili sawa sawa hahaha
Sasa kama kwake au kwako wote munamwita TB ni Mtumishi na kama hilo halina shida kwa nini aje hapa kutuaminisha sisis tusiomwamini ???KING KOBRA;
Nimejitahidi sana kuisoma Thread yako nkashindwa kukuelewa. Una maana kuwa hakuna mahali ambapo watu wamefia kwenye majumba ya ibaada bila dhambi??
Swali la kizushi tu; Je wale waliouawa kwa bomu pale Olasiti Arusha, hawa walikuwa na dhambi gani ndugu yangu? Mbona yule kiongozi wa sala (Askofu na mwakilishi wa Vatican) hawakuweza kubaini kuwa kuna bomu litatupwa pale na kuua?
Jamani, let us be realistic. Tusijisumbue na mambo ya Mungu. Huwezi ukamwuliza kwa nini hukutuonesha wala kutuonya. Jambo bora ni kusema; Bwana, mapenzi yako yafanyike.
Acheni kumkebehi huyo mtumishi wa Mungu. Kwako aweza kuwa tapeli ila kwa wengine ni Mtumishi wa Mungu aliye hai. Tusihukumu tusije hukumiwa.
Hata shetani anadunda!!!kweli nzi kufia kwenye kidonda sio ujinga ni kupenda..
acha kucheka cheka jibu hoja!!
Tb johua ni nani?? Kwa nini unadanganya watu humu ?? Vifo vya watu zaidi ya 100 ulishaona ona mikonani mwa mtumishi yupi ndani ya bible ?? Kaa utafakari kabla ya kujibu
Tangu tukio la kuanguka jengo litokee, TB Joshua ameonekana kuwa mwenye uchungu sana hali iliyopelekea awe mbele za Mungu kwa wakati wote.
Kitendo hicho kimepelekea TB Joshua kukamatwa na nguvu ya Mungu mara dufu, sasa anatisha sana! Shetani anasota mno, hata akikuombea kwa TV tu unapokea nguvu ya ajabu hapohapo. Hatari sana! Karibuni naangalia ujumbe wake wa jumapili ya tukio alioutoa.
Emmanueeeeeeeeeel-God with us!
Sasa kama kwake au kwako wote munamwita TB ni Mtumishi na kama hilo halina shida kwa nini aje hapa kutuaminisha sisis tusiomwamini ???
Mimi nahoji hayo maswali na nimesema atoe reference kutoka kwenye bible labda hawezi kutoa kwenye bible .
Kama na wewe unaweza basi nisaidie utoe kwenye bible ushahidi ambapo Mungu aliyehai alikusanya watu harafu wakafa zaidi ya 100.
Mimi nitakupa ushahidi ambapo shetani alikusanya watu wakamuasi Mungu harafu wote wakaangamia!!
Hususani huo ni ushahidi wa dhati kuwa TB amekuwa anakusanya watu kwa misingi ya dhabi na sasa wana angamia !!
Sasa hiyo ni taa nyekundu!!!
Maji anayotengeneza TB , Wakatoliki wanakunywa??KING KOBRA;
Nimejitahidi sana kuisoma Thread yako nkashindwa kukuelewa. Una maana kuwa hakuna mahali ambapo watu wamefia kwenye majumba ya ibaada bila dhambi??
Swali la kizushi tu; Je wale waliouawa kwa bomu pale Olasiti Arusha, hawa walikuwa na dhambi gani ndugu yangu? Mbona yule kiongozi wa sala (Askofu na mwakilishi wa Vatican) hawakuweza kubaini kuwa kuna bomu litatupwa pale na kuua?
Jamani, let us be realistic. Tusijisumbue na mambo ya Mungu. Huwezi ukamwuliza kwa nini hukutuonesha wala kutuonya. Jambo bora ni kusema; Bwana, mapenzi yako yafanyike.
Acheni kumkebehi huyo mtumishi wa Mungu. Kwako aweza kuwa tapeli ila kwa wengine ni Mtumishi wa Mungu aliye hai. Tusihukumu tusije hukumiwa.
KING KOBRA;

Unadhani siku ya hukumu utaulizwa kama ulikua mfuasi wa TB Joshua?yachunguze maandiko then ukiyajua hutakaa kumtegemea mtu kukuombea au kwenye majaribu!
Niooooh! Shetani na mama mkwe wake wanalia, Shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari, Walijua wanaSCOAN na Tb Joshua tutashindwa lakini sasa twasonga mbele na wema wa Mungu umetuzunguka.
Chezea Jehova wewe.......
Hapa kila mtu anamwita mwenzake Shetani sasa watu zaidi ya 100 wameuawa mikononi mwa TB Joshua na hiyo ni taa nyekunduPigo jingine kwa shetani na vibaraka wake, Emmanuel...................