kolongotitu
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 222
- 157
Msaada anayejua namna ya kutumia simu aina ya nokia E7-00 designed in finland tatizo linalonisumbua nikiweka laini haisomi inaandika offline
Karibu wakuu kwa msaada
Karibu wakuu kwa msaada