Tazara sasa wanaiaibisha nchi

Tazara sasa wanaiaibisha nchi

Mchokoo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,604
Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara,

vipi wageni wanajisikiaje?

Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12,
na hapo ni danadana tu zinaendelea.

Nimeambiwa ilifika jana kwa nini hayo matengenezo hayakufanyika hiyo jana? Au kuna hujuma?

Hapa wamejazana wageni kutoka nchi za kiafrika hadi Ulaya, Asia na Amerika.

Sasa najiuliza sisi waafrika tunafahamiana.

Vipi hawa weupe wanatuonaje?

Dah, hadi aibu.
 
Bongo kwenye suala la uendeshaji ni zero kabisa...

Yaani ingekuwa inawezekana, unatoa viongozi wote unaweka robots...
 
Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara,

vipi wageni wanajisikiaje?

Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12,
na hapo ni danadana tu zinaendelea.

Nimeambiwa ilifika jana kwa nini hayo matengenezo hayakufanyika hiyo jana? Au kuna hujuma?

Hapa wamejazana wageni kutoka nchi za kiafrika hadi Ulaya, Asia na Amerika.

Sasa najiuliza sisi waafrika tunafahamiana.

Vipi hawa weupe wanatuonaje?

Dah, hadi aibu.
R.I.P Magufuli
 
dah kwa TAZARA hayo mambo ya kawaida sana,,,,,mshukuru hawajawafanyia ule uhuni wawatoe hapo stesheni ndani ya muda halafu wawaache mzenga wawaambie huko mbele reli wanarekebisha au kuna treni la mizigo limedondoka
 
Means hapo kuna abiria zaidi ya 300 mnaosubiri hiyo treni na uwezo wa kufanya push back hamna!,dawa ni kulalama humu JF, WHY hamuendi kwenye ofisi zao hapo na kutoa malalamiko yenu?,why hamuwezi kufanya protest hapo ikiwa na kuchoma moto ofisi zao?,humu jf huwezi pata msaada wowote, pambana hapo
 
Nimewahi lala stesheni kiutani utani hivyo hivyo. Saa nne asubuhi, Saa saba mchana, Saa kumi na mbili jioni, Saa nne usiku. . . . Tukaondoka saa nne asubuhi.
 
Back
Top Bottom