TAZARA mchezo wazuka

TAZARA mchezo wazuka

wanguwangu

New Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
4
Reaction score
0
Driver wa Daladala anasimama kwenye mataa ya TAZARA huku akinywa maji na kutupa chini chupa ya maji. Mara anajitokeza Mwana-Mazingira anaenda kwa dereva yule na kuchomoa funguo wa gari.

Daladala imebaki kati ya barabara na ufunguo anakimbia nao huyo Mwanamazigira. Sote tulio nyuma ya Daladala tunapiga honi lakini kumbe kanyan'ganywa funguo; Je huo ni uungwana! Hamna namna ya kuwashughulikia wachafuaji wa mji vizuri zaidi?

Nyang'anya funguo wakati ameweka gari pembeni basi na umkadirie kiasi cha faini.

Tutafika?
 
aangalie asije akaibiwa gari , tangu lini dsm kuna wasimamia usafi ?
 
Me sijawaona maana kama hapa keep left shulebya uhuru.majanga
 
Nafikiri hii ni njia bora zaidi kwa sababu hata walioko nyuma wanadhibiwa na kupata fundisho wasitupe taka hovyo. Bahati mbaya siyo daladala tu bali hata watu wanaoonekana ni wastaarabu ndani ya magari yao ya gharama kubwa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom